Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Spika wa Bunge la Canada , Anthony Rota alipotembelea ofisini kwake jijini Ottawa nchini canada, tarehe 14/01/2020.

Spika Ndugai pia alitumia fursa hiyo kumpa pole kwa vifo vya raia wa Canada 63 waliofariki katika ajali ya ndege hivi karibuni.