Dar es Salaam, 08 Septemba, 2022 -
Wizara ya Afya Tanzania inaendelea kukuletea taarifa kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona UVIKO-19 kama inavyofanyika nchi nyingine duniani.
Taarifa hizo zinaelezea pia hatua zinazochukuliwa katika kuzuia maambukizi hayo.
Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya Wizara ya Afya Tanzania mara kwa mara - Home|Ministry of Health (moh.go.tz).
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Canada utaendelea kuwasilisha taarifa hizo kwenye tovuti yake.